Ingawa tunatumia mtandao kila siku, sehemu kubwa ya yaliyomo humo bado haionekani wazi wala haifikiki kirahisi. Hii si kwa sababu ya kanuni za kiufundi (algorithms) pekee, bali pia kwa sababu ya lugha ...
Kiswahili kitaanza kufunzwa katika shule nchini Afrika kusini kuanzia mwaka 2020. Waziri wa elimu msingi, Angie Motshekga siku ya Jumatatu amesema kuwa Kiswahili kitafunzwa kama lugha mbadala kwa ...
Mja anayeweza kuzungumza vizuri zaidi ya lugha moja hupata faida nyingi katika maisha ya kila siku na kazini. Waja wanaofahamu lugha nyingi hujifunza mengi kuhusu tamaduni nyingine. Wana uelewa wa ...
Leo hii, tunasherehekea Siku ya Kiswahili Duniani, siku maalum ya kutambua na kuenzi thamani ya lugha ya Kiswahili kama chombo muhimu cha mawasiliano, utambulisho wa tamaduni, na daraja la maelewano ...
Mtu yeyote mgeni nchini Australia anaweza fahamu umuhimu waku weka hai lugha yako ya mama. Lugha ni muhimu kwa utamaduni wako na lugha za asili za Australia si tofauti, kuwaunga watu na ardhi pamoja ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果